‘RAFIKI’ni usaidizi wa system wa kupanda dau kwa niaba ya mshiriki kulingana na
bajeti/ kiasi atakachoamua mshiriki na mshiriki anaweza kuendelea na shughuli
zingine bila kujali kukosa mnada
‘RAFIKI’hupanda dau pale muda wa mnada unapopungua na kubaki sekunde tano
(5) toka mshiriki aliyepita kuweka dau
Hii husaidia kutokuweka dau kwa mihemuko hivyo kuwa na balansi ya kutosha ili
kuendelea na mnada
Mshiriki anaweza kuweka na kukatisha ‘RAFIKI’ muda wowote kabla ya mnada
kuanza na baada ya mnada kuanza
MFANO
Umeweka credit 5000 kwenye ‘RAFIKI’ Mnada umeanza na dau limefika 260,
zikifika sekunde 5 toka mshiriki wa mwisho kuweka dau ‘RAFIKI’ itakuwekea
dau linalofuata , 261, na balance yako ya ‘RAFIKI’ itabaki 4739, muda utaanza
upya kwa sekunde 30 na mnada utaendelea mpaka pale sekunde zikishuka
mpaka 5 ‘RAFIKI’ itapanda dau tena , ukishinda utapokea ujumbe, ukishindwa
credit zako zilizotumika na zilizobaki, zitaruishwa kwenye balansi yako kuu
JINSI YA KUTUMIA ‘RAFIKI’
SHIRIKI MINADA WASIOSHIRIKI WATU WENGI Mfano
bidhaa zenye thamani ya chini ili ukuze mtaji
minada ya usiku
TENGENEZA MTAJI MKUBWA KWA KUBAILI USHINDI KUWA CREDIT